Al Masry wafurahi kukutana na Wananchi Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Apr 2025
Al Masry wafurahi kukutana na Wananchi Dar

Klabu ya Al Masry kutoka Misri iko nchini ambayo siku ya Jumatano April 09 wataumana Simba katika mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya kombe la Shirikisho (CAF CC)Β 

Al Masry walipata ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza

Ikumbukwe msimu wa 2017/18 Al Masry walicheza na Simba katika michuano hiyohiyo na walipata sapoti kubwa ya mashabiki wa Yanga pale uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya kutua nchini, Al Masry kupitia ukurasa wao wa mtandao wa Instagram, walieleza furaha yao kuja Tanzania kwa mara nyingine kukutana na mashabiki wa Yanga

Yaani ni kama wanaomba sapoti ya Wananchi siku ya Jumatano pale kwa Mkapa

Hata hivyo kwa sasa Wananchi 'wako busy' na mambo yao, mkakati ukiwa kushinda mataji yote ya ndani ili kurejea katika michuano ya Kimataifa na nguvu kubwa zaidi msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’