Yanga imegawa kikosi nusu kwa nusu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 May 2018
Yanga imegawa kikosi nusu kwa nusu
Baada ya kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa msimu huu, uongozi wa Yanga umeamua kutilia mkazo michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Yanga imepeleka wachezaji 13 mkoani Mbeya kuivaa Prisons huku wengine wakibaki jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports.

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amepania kuona Yanga inashinda michezo yake ya nyumbani kwenye michuano ya kombe la Shirikisho.

"Hakuna ukweli wowote juu ya madai kwamba kuna wachezaji wamegoma kusafiri isipokuwa huo ni mkakati uliopangwa na benchi la ufundi," amesema mmoja wa viongozi wa Yanga.

Bila shaka matunda ya uamuzi huu yataonekana May 16 uwanja wa Taifa Yanga itakapoikabili Rayon.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’