Kikosi cha Yanga kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea Babati, Manyara ambako jana walikamilisha mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate na kuibuka na ushindi wa mabao 4-0
Yanga sasa inaelekeza nguvu zake katika kombe la Muungano ambapo kikosi kinatarajiwa kuelekea Pemba, Jumamosi April 26 watacheza mechi ya robo fainali dhidi ya KVZ






ADVERTISE HERE