Matchday; Zimamoto vs Yanga, Muungano Cup, SF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2025
Matchday; Zimamoto vs Yanga, Muungano Cup, SF

Kikosi cha Yanga leo kitashuka dimba la Gombani, Pemba kuikabili Zimamoto katika mchezo wa nusu fainali kombe la Muungano

Baada ya Azam Fc kuondoshwa na JKU jana katika michuano hiyo, Yanga ndio timu pekee iliyobaki kutoka Tanzania Bara

Wananchi watatinga fainali endapo watashinda mchezo huo utakaopigwa saa 1:15 usiku. JKU tayari imetangulia fainali ikisubiri mshindi wa mchezo wa leo

Yanga imeichukulia michuano hii kwa uzito mkubwa ikitumia kikosi chake kamili ukiondoa wachezaji wachache ambao baadhi yao ni majeruhi

Yao Kouassi na Khalid Aucho ni majeruhi huku Clatous Chama, Prince Dube na Duke Abuya wakikosa mchezo wa robo fainali kwa ruhusa maalum. Nyota hao walitarajiwa kuungana na kikosi kuelekea mchezo wa leo

Yanga iko katika kampeni ya kuwania mataji manne msimu huu wakiwa tayari wanayo Ngao ya Jamii kabatini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’