Matchday : JKU vs Yanga, Muungano Cup final

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 May 2025
Matchday : JKU vs Yanga, Muungano Cup final

Kikosi cha Yanga leo kitashuka dimba la Gombani, Pemba kumenyana na JKU katika mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano

Ni mechi ya kuhitimisha michuano hiyo ambayo msimu huu ilishirikisha timu nane

Wananchi wana nafasi ya kuweka taji la pili kabatini katika msimu ambao Meneja wa Habari na Mawasiliano Ali Kamwe ametamba kuwa watahakikisha wanabeba kila kombe la ndani ambalo timu hiyo inashiriki

Yanga ndio mabingwa wa Ngao ya Jamii, michuano waliyotwaa katika uzinduzi wa msimu huu na hivyo leo wana nafasi ya kutwaa taji la Muungano ambalo litakuwa la 7 katika historiia yao ya kushiriki michuano hiyo

Hata hivyo ni wazi haitakuwa mechi nyepesi. Matokeo ya mchezo wa nusu fainali dhidi ya Zimamoto yamewakumbusha Wananchi watakuwa na kazi kurejea na taji hilo Bara

Mchezo unatarajiwa kupigwa saa 1:15 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’