Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ndie mchezaji mwenye tat-trick nyingi kuliko wote wanaocheza ligi kuu hivi sasa Akiwa amefunga mara nne tokea amekuja Tanzania
Hakuna mchezaji aliyefunga hat-trik nyingi kumzidi Aziz Ki licha ya kuwepo kwa wachezaji wengi mahiri tangu msimu wa 2022/23
Katika misimu mitatu, Aziz Ki amefunga kat-trik nne katika mechi hizi;
- Kagera Sugar
- Prisons
- Azam Fc
- Kmc
Aziz Ki amefunga hat-trik katika kila msimu huku msimu uliopita akifunga hat-trik mbili
Msimu huu amefunga hat-trik moja lakini bado ana nafasi kuendeleza rekodi yake katika mechi tatu zilizobaki
ADVERTISE HERE