Happy Birthday Andabwile

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2025
Happy Birthday Andabwile

Tarehe na mwezi kama wa leo alizaliwa kiungo kiraka wa Yanga Aziz Andabwile

Andabwile alitua Yanga katika dirisha kubwa la usajili 2024 akitokea klabu ya Singida Fountain Gate

Majeraha ya mara kwa mara yamewanyima Wananchi fursa ya kuona ubora wake ingawa kwa sasa anaonekana yuko 'fit'

Andabwile alikuwa mmoja wa wachezaji waliohakikisha Yanga inatwaa kombe la Muungano visiwani Zanzibar mapema mwezi huu

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’