Kipindi cha Yanga TV hakikuruka jana Ijumaa saa moja jioni kama ilivyo kawaida kutokana na kurushwa moja kwa moja kwa matangazo ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Azam FC dhidi ya Majimaji.
Mchezo huo ambao Azam iliondoka na ushindi wa mabao 2-0 ulichezwa kuanzia saa moja jioni hivyo kulazimu kipindi cha Yanga TV kupelekwa siku ya Jumapili saa nane mchana.
Ni kupitia chaneli ya Azam Sport 2 katika kin'gamuzi cha Azam TV.

ADVERTISE HERE