Yanga safarini Tanga leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2025
Yanga safarini Tanga leo

Kikosi cha Yanga kinaondoka leo jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Tanga tayari kwa mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Jumapili, May 18 katika uwanja wa Mkwakwani

Yanga inakwenda Tanga ikiwa na dhamira ya kuisaka tiketi ya fainali kwa kuhakikisha wanashinda mchezo dhidi ya JKT Tanzania

Wikiendi hii jiji la Tanga litapambwa na rangi za njano na kijani kwani Wananchi wamepania kuliteta jiji

Msafara wa takribani mabasi 50 ya mashabiki utaondoka jijini Dar es salaam kesho Jumamosi, May 17 kuelekea Tanga

Yanga ndio mabingwa watetezi wa taji la CRDB wakiisaka fainali ya tano mfululizo ili kutetea taji lao kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’