Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa kesho Jumapili, May 18 katika uwanja wa Mkwakwani

ADVERTISE HERE