Mwaka 2023 Yanga ilicheza fainali ya kombe la Shirikisho na kukosa ubingwa kwa kanuni tu lakini iliweza kushinda bao 1-0 katika mchezo wa pili wa fainali dhidi ya USM Alger
Bahati mbaya Yanga ilipoteza mchezo wa kwanza nyumbani kwa kufungwa mabao 2-1 lakini angalau Wananchi walishinda mechi ya pili ugenini tena katika mazingira magumuuuu
Ama kwa hakika Yanga lazima iheshimiwe, wale waliokuwa wanadhani ni rahisi leo wamepata majibu...!


Kama medali hata sisi tunayooooo.....!
ADVERTISE HERE