Diarra awania tuzo Afrika Magharibi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 May 2025
Diarra awania tuzo Afrika Magharibi

Mlinda lango wa Yanga SC na timu ya taifa ya Mali, Djigui Diarra, ameendelea kutikisa anga za soka la Afrika baada ya kutajwa kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Kipa Bora wa Afrika Magharibi kupitia CIS Awards 2025.

Diarra, ambaye amekuwa nguzo muhimu ya Yanga na timu ya Taifa ya Mali, anachuana na walinda lango wa ukanda huo waliofanya vizuri ndani na nje ya bara la Afrika

Katika kinyang’anyiro hicho, Diarra atachuana na:

  • Edouard Mendy, mlinda mlango wa Al Ahli (Saudi Arabia) na aliyewahi kung’ara na Chelsea FC ya Uingereza

  • Youssouf Koita kutoka Djoliba FC (Mali)

  • Yaya Fofana wa Angers FC (Ufaransa)

  • Moussa Camara wa Simba SC (Tanzania)

Tuzo za CIS Awards, ambazo hutolewa kila mwaka, zinalenga kuonyesha na kuheshimu vipaji vya kipekee na ufanisi wa wanasoka kutoka ukanda wa Afrika Magharibi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’