Keshokutwa Jumatano, May 16 2018 Yanga itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Rayon Sport kwenye mchezo wa pili wa kundi D, kombe la shirikisho barani Afrika.
Yanga ambayo ilipoteza mchezo wa kwanza kwa mabao 4-0 dhidi ya USM Alger, inahitaji kushinda mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kutinga robo fainali ya michuano hiyo.
Viingilio vya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa saa moja jioni tayari vimewekwa hadharani ambapo kiingilio cha chini kabisa ni Tsh 3,000/- Mzunguuko.
VIP A ni Tsh 15,000/- wakati VIP B na C ni Tsh 7,000/-
Mashabiki wametakiwa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kuiunga mkono Yanga kuhakikisha inashinda mchezo huo.

ADVERTISE HERE