Tuzo ya MVP ni ya Pacome - Manara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2025
Tuzo ya MVP ni ya Pacome - Manara

Msemaji wa zamani wa Yanga Haji Manara amesisitiza kauli yake kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Pacome Zouzoua, msimu huu atabeba tuzo ya mchezaji bora wa msimu 'MVP'

Pacome jana aliiongoza Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Tanzania Prisons akifunga mabao mawili katika mchezo huo ambao baada ya dakika 90 kutamatika, alitangazwa nyota wa mchezo

Ilikuwa tuzo yake ya 7 ya nyota wa mchezo msimu huu akiwa mchezaji aliyeshinda tuzo hizo mara nyingi zaidi mpaka sasa

Manara alimtabiria Pacome kubeba tuzo hiyo hata kabla ya msimu huu kuanza katika Tamasha la wiki ya Mwananchi

"Fikiria hakuna Mwandishi wa Manara Tv wala wa chombo kingine aliyewahi kuniuliza kwa nini unasema Pacome atakuwa MVP wa Msimu huu wa 2024/25?"

"Hata yeye mwenyewe nilipomwambia kule Avic Town siku moja kabla ya Sherehe za wiki ya Wananchi, sikumuona kama alikuwa amenielewa"

"Ndio nilimwambia nakuona unashinda tuzo ya mchezaji bora msimu huu unaokuja, akacheka tu. Lakini nilishaiona miguu na akili yake kubwa Uwanjani na nikajiambia hatazuilika this season"

"Now hakuna ubishi kwamba msimu wa 2024/25 Paccome ’ Bugati ‘ anaenda kukabidhiwa Tuzo hii kubwa kabisa nchini," aliandika Manara kwenye ukurasa wake ww mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
26m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’