Sisi tuko tayari, waje tu - Job

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jun 2025
Sisi tuko tayari, waje tu - Job

Nahodha msaidizi wa Yanga Dickson Job amesema wachezaji wote wako tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Akizungumza katika Mkutano na wanahabari kuelekea mchezo huo, Job amesema wachezaji wote wanatambua ugumu wa mchezo huo lakini wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi ili kutetea ubingwa wao kwa msimu wa nne mfululizo

"Sisi kama wachezaji tuko tayari kwa mchezo dhidi ya Simba, tunaamini utakuwa mchezo mgumu lakini tumejiandaa kushinda ili kutetea taji letu"

"Tumekuwa na maandalizi ya kimkakati kuelekea mchezo huo, naamini kama tutafanya kwa usahihi yale tuliyoelekezwa mazoezini basi tutashinda"

"Tunafahamu ubora wa wapinzani wetu, tutacheza kwa tahadhari lakini muhimu kufuata maelekezo ya mwalimu ili kuhakikisha tunatimiza malengo yetu," alisema Job

Yanga imejichimbia Avic Town kukamilisha maandalizi ya mchezo huo ambao ushindi utawahakikishia Wananchi kutetea taji la ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’