klabu ya Yanga inatajwa kukamilisha uhamisho wa mchezaji kiraka Aboubakar Nidhar Othman 'Ninju' aliyekuwa anakipiga kwa mkopo katika klabu ya JKU ya Zanzibar akitokea timu ya vijana ya Azam FC
Ninju (17) ni mchezaji kiraka kweli kwana anamudu kucheza nafasi nyingi hasa eneo la ulinzi na kiungoΒ
Akiwa na JKU ametumika kama beki wa kushoto, beki wa kati, kiungo mkabaji na kiungo mshambuliaji
Katika michuano ya kombe la Muungano 2025, katika mchezo wa fainali ambao JKU walicheza na Yanga, Ninju alitumika kama mlinzi wa kushoto na alicheza kwa kiwango bora hadi kupelekea kuwavutia Viongozi wa klab ya Yanga
Ninju alichaguliwa kuwa mchezaji bora Chipukizi wa mashundano ya Muungano 2025

ADVERTISE HERE