Mbunifu wa jezi za Yanga kwa misimu minne iliyopita, Sheria Ngowi jana aliwaaga rasmi Wanayanga baada ya mkataba wake kumalizika
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Ngowi ametoa shukrani kwa uongozi wa Yanga, Wadhamini, mashabiki na vyombo vya habari kwa ushirikiano aliopata katika kipindi cha misimu minne
Kampuni kutoka nje ya nchi inatarajiwa jukumu hilo la kubuni jezi za Yanga chini ya udhamini wa GSM

ADVERTISE HERE