Yanga kupamba Rayon Day, Rwanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jul 2025
Yanga kupamba Rayon Day, Rwanda

Klabu ya Rayon Sports itachuana na Yanga katika mchezo wa ufunguzi wa msimu mpya, RAYON DAY 2025

Mchezo huo utakaopigwa mwezi August 2025, umepangwa kupigwa katika uwanja wa Amahoro

Rayon Sports wamethibitisha Yanga kuitikia mwaliko huo na watashiriki tukio hilo kubwa la burudani Rwanda

Taarifa zaidi imebainisha pia kuwa Yanga wamealikwa Namibia kushiriki mechi maalum za pre-season

Klabu ya African Stars, Petro De Luanda na Lioli zitashiriki michuno hiyo

Nyota wa Yanga wanatarajia kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu tayari kuanza maandalizi ya pre-season mwanzoni mwa August

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’