Rayon Sports vs Yanga ni August 15

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jul 2025
Rayon Sports vs Yanga ni August 15

Kilele cha Rayon Day ni August 15 ambapo Yanga itakuwa Rwanda kuchagiza siku hiyo kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao Rayon Sports

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha mchezo huo baada ya kupokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya Rayon

Kamwe amesema Yanga chini ya kocha mpya itaanza maandalizi yake mwanzoni mwa August na watakuwa na takribani wiki mbili za mazoezi kabla mchezo huo

"Mchezo dhidi ya Rayon Sports ni August 15, tutafanya hamasa kubwa ili kuhakikisha sisi Yanga tunakwenda kwa wingi Rwanda"

"Kuanzia Julai 20 hadi August 03 ni kipindi ambacho tutafanya utambulisho wa kikosi chetu, taarifa za wachezaji walioondoka, waioongeza mikataba na wale tuliowasajili zitatolewa"

"Baada ya kukamilisha zoezi hilo timu itakuwa tayari kuanza maandalizi chini ya kocha wetu mpya"

"Mashabiki na Wanachama wa Yanga watarajie kuiona Yanga mpya August 15, tutakwenda Rwanda na kauli ya mbinu ya KUPIMA," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’