Zimbwe Jr anasubiri utambulisho tu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2025
Zimbwe Jr anasubiri utambulisho tu Yanga

Yanga imekamilisha usajili wa aliyekuwa nahodha wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr', imefahamika

Mchakato wa kukamilisha usajili wa beki huyo mahiri wa kushoto, ulikamilishwa jana usiku muda mfupi baada ya mchezaji huyo kuwaaga waajiri wake wa zamani

Yanga imemsajili Zimbwe Jr ili kuimarisha safu yake yaa ulinzi upande wa kushoto ambako anakwenda kusaidiana na Chadrack Boka

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe jana alitamba kuwa walikuwa katika hatua za mwisho kupiga picha tayari kwa utambulisho wa mchezaji mwingine mkubwa baada ya utambulisho wa kwanza wa kiungo Moussa Balla Conte ambaye utambulisho wake ulifuatiliwa na zaidi ya watu milioni 21 katika mtandao wa Instagram pekee

Wenyewe Wananchi wanasema kazi ndio kwanza inaanza.....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’