Yanga yapambana kumnasa Damaro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2025
Yanga yapambana kumnasa Damaro

Kiungo wa Singida BS Damaro Camara ambaye alibadili uraia wake na kuwa Mtanzania, ni miongoni mwa wachezaji ambao aliyekuwa mkufunzi wa Yanga Miloud Hamdi katika ripoti yake alipendekeza asajiliwe ili kuimarisha eneo la kiungo mkabaji

Licha ya kukamilisha usajili wa Moussa Balla Conte, Yanga bado inapambana kumnasa Damaro ambaye hata hivyo waajiri wake Singida BS wameweka dau kubwa la usajili

Inaelezwa Yanga ina makubaliano binafsi na Damaro, kilichobaki ni makubaliano kati ya Yanga na Singida BS juu ya gharama za kununua mkataba wake uliobaki

Damaro ni mmoja wa wachezaji waliofanya vyema katika kikosi cha Singida BS msimu uliomalizika

Singida BS wanatajwa kumsajili kiungo kutoka klabu ya Zoman Fc, Idrissa Diomande, kukamilika kwa usajili huo huenda kukaipa ahueni Yanga katika jitihada za kumsajli Damaro

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
55m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’