Andabwile aongeza miwili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jul 2025
Andabwile aongeza miwili Yanga

Klabu ya Yanga imemuongeza mkataba wa miaka miwili kiungo kiraka Aziz Andabwile

Baada ya kuitumikia Yanga kwa mkopo msimu uliopita, mabosi wa Yanga wameridhishwa na uwezo wake na hivyo kumuongezea miaka miwili

Andabwile amekuwa akitumika kama mchezaji kiraka katika safu ya ulinzi na eneo la kiungo

Ni wazi kwa sasa Yanga itamtumia zaidi katika eneo la beki wa kati akishirikiana na Dickson Job, Ibrahim Bacca na nahodha Bakari Mwamnyeto

Wakati Job na Bacca wakiwa katika majukumu ya timu ya Taifa, Andabwile, kinda Abubakar Nizar 'Ninju'na Mwamnyeto ndio watakaotumika katika safu ya ulinzi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
16h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
20h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
21h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
21h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’