Wachezaji 12 wa kigeni watakaoitumikia Yanga 2025/26

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2025
Wachezaji 12 wa kigeni watakaoitumikia Yanga 2025/26

Klabu ya Yanga leo imeendesha semina iliyojumuisha viongozi, benchi la ufundi na wachezaji kuelekea msimu ujao wa mashindano 2025/26

Mpaka sasa ni kama Yanga imekamilisha usajili wake upande wa nyota wa kigeni kwani wachezaji 12 waliosajiliwa wamefahamika

Djigui Diarra, Yao Kouassi, Maxi Nzengeli, Pacome Zouzoua, Duke Abuya, Chadrack Boka na Prince Dube wamehudhuria semina hiyo wakiwa wachezaji wanaoendelea kubaki kikosini

Nyota wapya ni Moussa Balla Conte, Lassine Kouma, Ecua Celestin, Andy Boyeli na Mohamed Doumbia

Idadi hiyo inakamilisha wachezaji 12 wa kigeni ambao wataitumikia Yanga msimu ujao 2025/26

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’