Hii jezi ya mazoezi ni hatari...

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2025
Hii jezi ya mazoezi ni hatari...

Kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi yake uwanja wa KMC Complex kuelekea msimu mwingine wa kutawala soka la Tanzania na Kimataifa

Ni msimu mpya, nyota wa Yanga wakiuanza na jezi mpya za mazoezi...!

Aidha Yanga pia imetambulisha wataalam wengine watatu katika benchi la ufundi Youssef Ammar mtaalamu wa viungo(Physiotherapist) ambaye amerejea tena

Chini ni Thulani Thekiso ambaye ni Video Analyst

Pia yumo kocha wa magolikipa Majdi Mnasria raia wa Tunisia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’