Wanachama na Mashabiki wa Yanga mkoani Iringa leo ilikuwa zamu yao kufanya mapokezi ya makombe ya msimu 2024/25.
Mkurugenzi wa wanachama na masoko Ibrahim Samweli ameongoza msafara wa Yanga akishirikiana na viongozi wa matawi Kanda ya Iringa.
Zoezi la kusajili Wanachama wapya linaendelea kupitia kampeni ya Tofali la Ubingwa iliyoanzishwa mwezi uliopita







ADVERTISE HERE