Ikangalombo aibukia AS Vita

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2025
Ikangalombo aibukia AS Vita

Aliyekuwa winga wa Yanga Jonathan Ikangalombo amerejea DR Congo ambapo jana alionekana akijifua na timu yake ya zamani, AS Vita

Nyota huyo bado hajasajiliwa na Vita lakini kuna uwezekano mkubwa akajiunga na waajiri wake hao wa zamani

Klabu ya Yanga imemtaarifu winga huyo kuwa hawana mpango wa kuendelea nae msimu ujao

Mchakato wa kumalizana nae unaendelea baada ya nyota huyo kugomea mpango wa kutolewa kwa mkopo

Ikangalombo alitua Yanga mwezi Januari mwaka huu katika usajili wa dirisha dogo lakini ilimchukua takribani miezi mitatu kuanza kuonekana katika kikosi cha kwanza

Hata hivyo kiwango chake hakikuwashawishi mabosi wa Yanga na kuamua kusitisha mkataba wake wa miaka miwili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
45m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’