Wiki ya Mwananchi ni Septemba 12

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Aug 2025
Wiki ya Mwananchi ni Septemba 12

Hatimaye klabu ya Yanga imetangaza kilele cha wiki ya Mwananchi ni Septemba 12 pale uwanja wa Benjamin Mkapa

Tukio kubwa zaidi Afrika Mashariki litafanyika siku hiyo ya Ijumaa ambapo shamrashamra zinatarajiwa kuanza mapema kwa burudani mbalimbali kabla ya utambulisho wa kikosi

Yanga pia itatangaza timu ambayo itaalikwa katika siku hiyo maalum kwa Wananchi

Kilele cha wiki ya Mwananchi kitafanyika siku nne kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba ambao utapigwa Septemba 16 dimba la Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’