Stars yakwama kwa Morocco CHAN

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2025
Stars yakwama kwa Morocco CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imetupwa nje ya michuano ya CHAN 2024 baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Morocco

Stars ilianza mchezo huo vyema lakini walipoteza umakini mapema katika kipindi cha pili na kuwapa nafasi ya kufunga bao pekee la mchezo huo

Pamoja na kumilikia mpira kwa nyakati tofauti Stars haikutengeneza nafasi nyingi za wazi, Clement Mzize akipoteza nafasi adimu katika kipindi cha kwanza

Stars inaungana na majirani zao Kenya kuyaaga mashindano hayo

Kenya iliondoshwa na Madagascar kwa mikwaju ya penati baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1

Hadi wakati mwingine tena...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’