Lango la Yanga katika mikono salama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Sep 2025
Lango la Yanga katika mikono salama

Lango la Yanga linaendelea kuwa salama chini ya walinda lango watatu Djigui Diarra, Abdutwalib Mshery na Aboubakar Khomein

Sasa wakiwa chini ya kocha mpya wa makipa Majdi Mnasria, matarajio ni kuwa wataendelea kuliweka salama lango hilo la Wananchi msimu ujao ambao Yanga imedhamiria kuendelea kufanya vyema katika mashindano ya ndani na Kimataifa

Mnasria raia wa Tunisia ni kocha mwenye uzoefu mkubwa ambapo aliwahi kuwa na vipindi viwili vya kazi katika klabu hiyo ya Durban.

Kocha huyo aliyetua Yanga baada ya mapendekezo ya kocha mkuu Romain Folz, pia amewahi kufundisha katika nchi za Tunisia, Algeria na Afrika Kusini, akifanya kazi na klabu mbalimbali zikiwemo Golden Arrows, El Gawafel Sportives de Gafsa, Stade Gabsien Sports, Averine Sportif de Casserine, na Tunisia ES Metlaoui.

Uzoefu wake unatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwa makipa wa timu hiyo, Djigui Diarra, Aboutwalib Mshery na Khomeiny Abubakar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’