Chikola apewa kazi maalum Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Sep 2025
Chikola apewa kazi maalum Yanga

Baada ya Stephane Aziz Ki kuondoka, Yanga inamuandaa fundi mwingine atakayechukua mikoba ya kupiga mipira iliyokufa 'free-kick'

Na huyo sio mwingine, ni winga Offen Chikola ambaye Yanga imemsajili katika dirisha hili akitokea Tabora United

Chikola ni nyota mwingine mahiri katika matumizi ya mguu wa kushoto kama ilivyokuwa kwa Aziz Ki ambaye alipiga mipira ya kona, faulo na hata mikwaju ya penati

Katika mazoezi ya kupiga mipira ya adhabu, Chikola ameonyesha umahiri mkubwa na hivyo kulishawishi benchi la ufundi kumuandaa kwa ajili ya kazi hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’