Yanga kupatiwa hati ya ardhi ndani ya siku 14

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2025
Yanga kupatiwa hati ya ardhi ndani ya siku 14

Waziri wa ardhi Mh. Deogratius John Ndejembi amewahakikishia Wanachama wa klabu ya Yanga kuwa hati ya umiliki wa eneo la uwanja itakabidhiwa katika kipindi cha siku 14

Ndejembi alitoa kauli hiyo katika Mkutano wa Wanachama uliofanyika SuperDome, Masaki jijini Dar es salaam

Baada ya kauli ya Waziri, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema watakapokabidhiwa hati hiyo mchakato wa ujenzi wa uwanja huo utaanza mara moja

Hersi amewahakikishia Wanachama wa Yanga kuwa suala la ujenzi wa uwanja ni deni kubwa kwake na hataondoka Yanga hadi pale ahadi hiyo itakapotimia

Michakato hiyo inakwenda kukamilika baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk Samia Suluhu Hassan kuridhia ombi la Yanga kuongezewa eneo ili kujenga uwanja ambao utachukua takribani mashabiki 30,000

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’