Bajeti ya Yanga 2025/26 ni Bilioni 33.6

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Sep 2025
Bajeti ya Yanga 2025/26 ni Bilioni 33.6

Katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga uliofanyika ukumbi wa SuperDome, Masaki jijini Dar es salaam, ilisomwa taarifa ya mapato na matumizi kwa msimu uliopita 2024/25.

Lakini pia katika mkutano huo pia ikasomwa bejeti ya klabu kwa msimu ujao 2025/26

Akisoma taarifa ya mapato na matumizi ya klabu, Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji alisema mapato ya klabu kwa msimu uliopita ni Tsh Bilioni 25.6 huku matumizi yakiwa Tsh Bilioni 25.3 kukiwa akiba ya takribani laki 3

Aidha Bajeti ya Yanga kwa msimu ujao 2025/26 ni Tsh Bilioni 33.6

HUU HAPA MCHANGANUO;

MAPATO (Kiasi TZS)

• Udhamini na Haki za Matangazo: 10,391,335,340
• Mapato ya Mlangoni: 1,667,548,655
• Ada za Uanachama: 1,119,309,815
• Zawadi za Ushindi: 3,089,967,800
• Mapato Mengine: 9,428,957,700

Jumla ya Mapato: 25,697,119,110

MATUMIZI (Kiasi TZS)
• Mishahara na Marupurupu Mengine: 8,046,583,496
• Gharama za Usajili na Uhamisho wa Wachezaji: 5,138,824,722
• Gharama za Usafirishaji wa Nchi, Usafiri, Chakula na Malazi: 8,710,460,500
• Posho kwa Wachezaji na Benchi la Ufundi: 1,607,476,044
• Michango ya Kisheria: 1,600,970,218
• Gharama za Utawala: 533,146,560
• Gharama za Kamati: 412,145,540
• Gharama za Kusifu: 239,140,000
• Gharama za Kiducho: 1,253,527,832

Jumla ya Matumizi: 25,389,959,912

BAKAA: 307,149,198

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’