Mwenendo wa mauzo ya tiketi Wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Sep 2025
Mwenendo wa mauzo ya tiketi Wiki ya Mwananchi

Mpaka sasa tiketi za VVIP, Royal na VIP A zimekwisha huku zile za madaraja mengine yakizidi kuyoyoma

Ni siku tatu zimesalia kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi siku ya Ijumaa pale uwanja wa Benjamin Mkapa

Katika Tamasha la mwaka huu Yanga imewataka mashabiki kununua tiketi zote ili kujaza uwanja. Hakutakuwa naΒ tiketi za zawadi au ofa ambazo zitatolewa

Tiketi za VIP B zinakaribia kumalizika, kwa wale wakali wa VIP B wanapaswa kuchangamkia tiketi hizo kabla hazijamalizika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’