Mpaka sasa tiketi za VVIP, Royal na VIP A zimekwisha huku zile za madaraja mengine yakizidi kuyoyoma
Ni siku tatu zimesalia kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi siku ya Ijumaa pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Katika Tamasha la mwaka huu Yanga imewataka mashabiki kununua tiketi zote ili kujaza uwanja. Hakutakuwa naΒ tiketi za zawadi au ofa ambazo zitatolewa
Tiketi za VIP B zinakaribia kumalizika, kwa wale wakali wa VIP B wanapaswa kuchangamkia tiketi hizo kabla hazijamalizika

ADVERTISE HERE