Ni Jumanne hii, waletee

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2025
Ni Jumanne hii, waletee

Dabi ya Ngao ya Jamii haina kipengele! Ni Jumanne hii Septemba 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni

Kulikuwa na tetesi kuna timu iliomba mchezo huo upigwe kalenda kwa kisingizio cha kukabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa ndani ya siku nne zitakazofuata

Lakini TFF imethibitisha hakuna mabadiliko ya tarehe wala muda wa mchezo, kitaeleweka saa 11 jioniii

Yaani mbabe lazima ajulikane kabla ya timu zote kuelekea katika majukumu ya mechi za ligi ya mabingwa

Yanga watacheza dhidi ya Wiliete huko Angola Septemba 21 wakati Simba watacheza dhidi ya Gaborone United huko Botswana Septemba 20

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’