Happy Birthday Arafat Haji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2025
Happy Birthday Arafat Haji

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji

Unapozungumzia uimara wa uongozi wa Yanga, hutakosa kutaja majina mawili; Injinia Hersi Said ambaye ni Rais wa klabu na Arafat ambaye ni Makamu wake

Katika kipindi kifupi cha uongozi wao, wawili hao wameirejesha tabasamu ya Wananchi wakikusanya mataji kila msimu

Katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, bila shaka wachezaji wa Yanga watampa Arafat zawadi bora ya ushindi pale watakaposhuka dimba la Novemba 11 kuikabili Wiliete Sc badae leo

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’