Ni ushindi wa kibabe licha ya ratiba ngumu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2025
Ni ushindi wa kibabe licha ya ratiba ngumu

Meneja wa habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi Wiliete Fc waliopata nchini Angola leo ni ishara ya dhamira ya Yanga katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu

Katika kipindi cha siku tatu, Yanga imecheza mechi mbili kubwa huku ikisafiri umbali mrefu kuifuata Wiliete baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba

Kamwe amesema wamepata muda mfupi wa kufanya maandalizi Angola lakini leo wameshuka uwanjani na kuibuka na ushindi mnono

"Baada ya dakika 90 za Derby ya Kariakoo, saa 4 usiku timu inarudi hotelini kujiandaa na Safari. Saa 7 usiku vijana wanafika Airport, Ndege shwaaa Ethiopia, tunasubiri kwa saa 3 Airport kisha tunaunga Ndege Angola"

"Saa 4 angani.. Tunafika Angola, Tunapata siku moja tu ya Kufanya mazoezi na bado tunaingia uwanjani TUNASHINDA KIBABE 3-0 UGENINI"

"Hii ni STATEMENT KUBWA sana Yanga imeitoa .. inahitaji mtu wa Football kuelewa hili," aliandika Kamwe katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’