FT : Yanga 3-0 Pamba Jiji, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Sep 2025
FT : Yanga 3-0 Pamba Jiji, NBC PL

Yanga imeanza vyema msimu wa ligi kuu 2025/26 ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Licha ya kuanza mchezo huo taratibu, Yanga ilikwenda mapumziko ikiongoza kwa bao 1-0 lililofungwa Lassine Kouma aliyemaliza mpira wa kona uliochongwa na Edmund John

Mabadiliko aliyofanya kocha Romain Folz katika kipindi cha pili akiwaingiza Aziz Andabwile, Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua, Prince Dube na Mudathir Yahya yaliiongezea Yanga kasi ya kusukuma mashambulizi lango la Pamba Jiji

Alikuwa ni Maxi Nzengeli aliyefunga bao la pili akimalizia krosi ya Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' kabla ya Mudathir Yahya kufunga bao la tatu dakika za lala salama akimalizia krosi ya Pacome

Ni wazi ushindi ndio matokeo muhimu zaidi kwa Wananchi leo ingawa unaweza kusema Yanga haikucheza vizuri sana hasa katika kipindi cha kwanza kabla ya mabadiliko yalifoyanyika kwnye kipindi cha pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’