Kesho Jumamosi, Septemba 27 Wananchi wana jambo lao pale uwanja wa Benjamin Mkapa watakapoikaribisha Wiliete SC katika mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL)
Yanga imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambao utakuwa wa kusaka tiketi ya kutinga raundi ya kwanza
Kiingilio cha chini majukwaa ya Mzunguuko ni Tsh 3,000/- wakati VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B ni Tsh 20,000/- na VIP C ni Tsh 10,000/-
Muda wa mchezo ni saa 11 jioni

ADVERTISE HERE