Matchday; Mbeya City vs Yanga, NBC PL, Sept 30

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Sep 2025
Matchday; Mbeya City vs Yanga, NBC PL, Sept 30

Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga wako ugenini mkoani Mbeya kuwakabili Mbeya City

Ni mechi nyingine muhimu kwa kocha Romain Folz na vijana wake kusaka alama tatu muhimu ugenini

Mbeya City haijawahi kuwa timu nyepesi hasa inapocheza na Yanga katika dimba la Sokoine hivyo ni wazi haitakuwa mechi rahisi

Yanga ilianza vyema kampeni ya kutetea taji lake msimu huu ikiichapa Pamba Jiji mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza

Ushindi dhidi ya Mbeya City unaweza ukawapeleka Wananchi kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya mechi mbili tu

Yanga ilitua Mbeya juzi, jana kikosi kikapata nafasi ya kufanya maandalizi ya mwisho katika dimba la Sokoine

Mkufunzi wa Yanga Romain Folz amewahakikishia Wananchi kuwa timu yao iko tayari na wanakwenda kupambana ili kushinda mchezo huo utakaopigwa saa 10:15 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’