Uongozi wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Taasisi ya GSM Foundation leo umetembelea kituo cha Bi Aisha Foundation Mbeya na kukabidhi mahitaji kwa watoto yatima wanaoishi katika kituo hicho
Ni sehemu ya utaratibu wa Yanga kurejesha kwa Jamii kuelelea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City utakaopigwa uwanja wa Sokoine jioni ya leo








ADVERTISE HERE