Nusu ya kikosi Yanga kwenye majukumu ya timu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2025
Nusu ya kikosi Yanga kwenye majukumu ya timu za Taifa

Kocha Mkuu wa Yanga Romain Folz atawakosa wachezaji 12 katika maandalizi kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Silver Strikers

Oktoba 16-18, Yanga itakuwa Malawi kuikabili Silver Strikers kabla ya timu hizo kurudiana wiki moja baadae jijini Dar es salaam

Katika maandalizi, Yanga inawakosa wachezaji karibu nusu ya kikosi ambao wako kwenye majukumu ya timu za Taifa

Nyota hao ni Djigui Diara aliyeitwa Mali, Israel Mwenda, Bakari Nondo Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Dickson Job, Aziz Andabwile na Offen Chikola walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'

Wengine ni Duke Abuya (Kenya), Lassine Kouma na Celestin Ecua (Chad), Prince Dube (Zimbabwe) na Pacome Zouzoua (Ivory Coast)

Wachezaji hao 12 watarejea kikosi baada ya kuhitimishwa kalenda ya FIFA ambapo mechi za mwisho zitapigwa Oktoba 14

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
59m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’