Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Vilabu barani Afrika(ACA), Injinia Hersi Said ameteuliwa na FIFA kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano yote ya vilabu ya Wanaume Duniani kwa kipindi cha miaka minne (2025-2029)
Hersi amekuwa mtu wa kwanza kutoka Afrika Mashariki na kati kuingia kwenye kamati kubwa ya mpira Ulimwenguni.
HONGERA HERSI...!

ADVERTISE HERE