Jeaninne abeba tuzo ya mfungaji bora Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2025
Jeaninne abeba tuzo ya mfungaji bora Ngao ya Jamii

Mshambuliaji wa Yanga Princess Jeaninne Mukandayisenga amebeba tuzo ya mfungaji bora michuano ya Ngao ya Jamii iliyotamatika leo kwa JKT Queens kuibuka mabingwa baada ya kuifunga Simba Queens mabao 2-1 katika mchezo wa fainali

Mapema kabla ya mchezo huo Jeaninne aliiongoza Yanga Princess kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mashujaa Queens na kujihakikishia nafasi ya tatu

Jeaninne alifunga moja ya mabao ya Yanga Princess katika mchezo huo na kufikisha mabao mawili ambayo yametosha kumpa tuzo ya mfungaji bora wa michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’