Folz aongezewa nguvu benchi la ufundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2025
Folz aongezewa nguvu benchi la ufundi

Klabu ya Yanga imemtangaza Patrick Mabedi kuwa kocha msaidizi akiungana na benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Romain Folz

Mabedi alikuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Malawi kuanzia mwaka 2023

Beki huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Malawi ambaye pia amewahi kutamba klabu ya Kaizer Chiefs akiwa nahodha, anaongeza uzoefu katika benchi la ufundi la Yanga

Karibu Jangwani Mabedi...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
2h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
14h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
23h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’