Matchday : Silver Strikers vs Yanga, CAFCL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2025
Matchday : Silver Strikers vs Yanga, CAFCL

Dakika 90 za kwanza mechi ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL) zinapigwa leo nchini Malawi kwa wenyeji Silver Strikers kuwakabili mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga

Ni mechi muhimu kwa Yanga kuanza vyema ugenini ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi

Yanga ilitua Malawi juzi ambapo kikosi jana kilikamilisha maandalizi yake ya mwisho katika uwanja wa Bingu ambao mchezo huo utapigwa leo saa 10 jioni

Yanga imekuwa na nyakati nzuri Malawi ambapo jana usiku kikosi kilipata wasaa wa kuonana na familia aliyewahi kuwa kocha mkuu Jack Chamangwana ambaye alifariki dunia mwaka 2018

Licha ya kuwa ugenini, Yanga leo inatarajiwa kuwa na sapoti kubwa ya mashabiki kwani takribani mabasi 50 yaliyobeba mashabiki yalisafiri kutoka Tanzania ambapo wataungana na Watanzania wanaoishi Malawi kuiunga mkono Yanga katika mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’