Ilikuwa siku mbaya ofisini, Folz katika presha kubwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2025
Ilikuwa siku mbaya ofisini, Folz katika presha kubwa

Unaweza kusema mechi dhidi ya Silver Strikers leo ni mwendelezo wa Yanga kutocheza vizuri katika siku za karibuni

Kipindi cha kwanza Yanga ilicheza taratibu sana bila kutengeneza nafasi nyingi za wazi

Yawezekana kulikuwa na changamoto ya 'fatique' hasa kwa wachezaji waliotoka kwenye majukumu ya timu za Taifa

Utawaelewa mashabiki wa Yanga walio wengi kwa nini wanamtupia lawama kocha Romain Folz kwani timu yake haitengenezi nafasi nyingi

Ili kuweza kusonga mbele Yanga inapaswa kubadilika kabisa katika mechi ya marudiano itakayopigwa Dar wiki ijayo

Hii ni mechi ambayo itaamua hatma ya Yanga kufuzu hatua ya makundi. Ikitokea imeshindwa kufuzu hatua ya makundi, hakutakuwa na utetezi ambao mashabiki wa Yanga wataukubali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’