Kesho Jumanne Oktoba 28 Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Mtibwa Sugar katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC
Hii itakuwa mechi ya kwanza nyumbani Yanga kucheza dimba la KMC Complex baada ya Serikali kusitisha matumizi ya uwanja wa Benjamin Mkapa kwa mechi za ndani
Viingilio vya mchezo huo VIP A ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-

ADVERTISE HERE