Matchday; Yanga vs Mtibwa Sugar, NBC PL, Oct 28

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2025
Matchday; Yanga vs Mtibwa Sugar, NBC PL, Oct 28

Baada ya kumaliza majukumu ya Kimataifa, Yanga sasa inahamisha nguvu zake kwenye ligi kuu ya NBC

Leo Wananchi watakuwa dimba la KMC Complex kuikaribisha Mtibwa Sugar ikiwa ni mechi ya raundi ya tatu msimu huu

Yanga itaingia katika mchezo huo ikiwa na dhamira moja tu, kusaka ushindi baada ya kupoteza alama mbili katika mchezo uliopita pale walipolazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Mbeya City

Itakuwa mechi ya kwanza kwa benchi jipya la ufundi linaloongozwa na kocha Pedro Goncalves anayesaidiwa na Philipe Pedro na Patrick Mabedi

Ni saa 10 jioni mtanange utaunguruma KMC COmplex Yanga ikirejesha mechi zake katika uwanja huo baada ya uwanja wa Benjamin Mkapa kusitishwa matumizi kwa mechi za ndani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’