Goncalves apata vibali, kuanza na Mtibwa Sugar leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2025
Goncalves apata vibali, kuanza na Mtibwa Sugar leo

Kocha Mkuu wa Yanga Pedro Goncalves leo atasimama kwenye benchi wakati vijana wake wakiikabili Mtbwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utapigwa uwanja wa KMC Complex.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha kuwa uongozi umekamilisha mchakato wa vibali vya kocha huyo na sasa yuko tayari kufanya kazi iliyomleta nchini

"Uongozi wetu umefanikisha na vibali vimetoka, sasa ni rasmi kocha wetu mkuu Pedro Goncalves atasimama kwenye benchi la ufundi kuiongoza timu yetu dhidi ya Mtibwa Sugar," alisema Kamwe

Baada ya kutua nchini siku ya Jumamosi jana Goncalves alianza rasmi majukumu ya kukinoa kikosi cha Yanga kuelekea mchezo huo ambao utapigwa saa 10 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’